TUME ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC) kupitia Mwenyekiti wake, Jaji mstaafu Semistocles Kaijage imemuidhinisha mgombea urais wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa IBRAHIM Lipumba na mgombea mwenza Hamida Abdalah kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Idhinisho hilo limefanyika mapema muda huu katika ofisi za time makoa makuu jijini Dodoma.
Mgombea huyo anakuwa wa saba baada CCM, ADA Tadea, NRA, SAU, NCCR Mageuzi na Demokrasia Makini kuidhinishwa.
Kwa habari au matangazo (diramakini@gmail.com) www.diramakini.co.tz