Muonekano wa Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo iliyoko mjini Bukoba
inayotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 18 Januari, 2020. Shule hiyo imefanyiwa
ukarabati uliogharimu shilingi Bilioni 10.9 baada ya kuharibika kufuatia
tetemeko la ardhi lililotokea mjini Bukoba tarehe 10 Septemba, 2016.
Tags
Picha