“Sifa ya kuwaongoza ninazo, nia ya kuwaletea maendeleo ninayo, uadilifu wangu kwenu hautakoma kamwe, na huo ndio msimamo wangu, kesho naenda kuchukua fomu ya kugombania Urais wa Zanzibar (ZEC), kwakuwa kila hatua dua, mbali ya kuwataka mjitokeze, pia mniombee,"Dkt.Hussein Mwinyi, Mgombea Urais Zanzibar kupitia CCM. |
Tags
Picha