CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Kigamboni, Askofu Josephat Gwajima kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Mjin katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28,2020... Taarifa zaidi zinakujia punde...FUATILIA
Karibu! Tovuti hii ya www.diramakini.co.tz imesajiliwa rasmi na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kupewa leseni namba TCRA/OCS-BL/0197/2020 chini ya Diramakini Business Limited iliyosajiliwa nchini Tanzania kwa ajili ya kukuhabarisha, kukuelimisha na kukupasha habari mbalimbali toka ndani na nje ya nchi. Je? Una habari,maulizo au tangazo, unataka kutupa ufadhili? Tuwasiliane; diramakini@gmail.com Asante.
Tags
Siasa