KATIKA hali inayoonyesha joto la Uchaguzi Mkuu limepanda, habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazinj,Peter Serukamba (CCM)ametimkia ACT-Wazalendo, inaripoti www.diramakini.co.tz
Baada ya uamuzi huo ikiwa ni siku moja baada ya CCM kutaja wateule wake huku Serukamba akikosa vigezo, tayari inadaiwa atachukua fomu ya kugombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho.Habari zaidi zitakujia punde.
Tags
Siasa
Hahahahahahahaha
ReplyDeleteKila la heri maana katika maisha unaamua mwenyewe nn cha kufanya na lini
ReplyDelete