Serikali ya Ufaransa kupitia ubalozi wake nchini Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewashindanisha wajasiriamali 1,000 kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika ikiwemo Tanzania na washindi wamepata zawadi mbalimbali. Picha juu zikionyesha taswira ya hafla hiyo jijini Dar es Salaam ambayo iliratibiwa na Ubalozi wa Ufaransa Tanzania huku wadau mbalimbali na viongozi wakishuhudia.
www.diramakini.co.tz