Baada ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na kamati yake kupitisha majina ya wagombea wa ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo.Baadhi ya wadau wa muziki wameteuliwa ambao ni msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Mwana FA na meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale.
Baada ya uteuzi huo Mwana FA ameandika ujumbe huu;
“Mungu ni mwema sana, Leo ni miongoni mwa zile siku chache, mimi nimeishiwa na sina la kusema, alama nyingine kuhusu ukubwa wa Mungu”
Tags
Habari