Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa,Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiimba wimbo wa chama pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu kabla ya kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM leo tarehe 19 Agosti, 2020 mkoani Dodoma. Picha na Ikulu/Diramakini. |
|