"Leo nikiwa pamoja na Mke wangu Neema na Katibu wa Chama Wilaya ya Arusha Mjini Moses Nanyaro na viongozi wengine,nimerudisha fomu ya kuendelea kuwa Mbunge wa Arusha Mjini,"Godbless Jonathan Lema.Tunapokea habari saa 24 wasilisha kupitia (diramakini@gmail.com) www.diramakini.co.tz
Tags
Siasa