MGOMBEA ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema akiwa na mke wake, Neema Tarimo walipofika ofisi za Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kuchukua fomu za kugombea jimbo hilo.
Lema amesema alifika kuchukua fomu aendelee kuwa Mbunge Arusha Mjini.
Lema akikabidhiwa fomu ofisi ya Mkurugenzi. Je, una habari,maulizo au tangazo? Tuwasiliane; diramakini@gmail.com |
Tags
Siasa