KATIBU MKUU DKT.NZUKI AHUTUBIA KIKAO CHA KUJADILI HALI YA UHIFADHI NA UENDELEZAJI MAENEO YA MALIKALE



Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce K.Nzuki akitoa hotuba ya ufunguzi katika kikao cha kujadili hali ya uhifadhi na uendelezaji wa maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa taasisi za wizara kilichofanyika jana katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS ) Kituo cha Mbegu za Miti Morogoro. Aliyekaa kushoto kwa Katibu Mkuu ni Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Kale, Dkt.Fabian Kigadye na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Uhifadhi na Teknolojia-Idara ya Mambo ya Kale, Dkt.Bwasiri Emmanuel. Picha na WIZARA YA MALIASILI NA UTALII.

Washiriki wa kikao cha kujadili hali ya uhifadhi na uendelezaji wa maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa taasisi za wizara, wakifuatilia kwa makini hotuba ya ufunguzi ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt.Aloyce K.Nzuki (hayupo pichani) kwenye ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Kituo cha Mbegu Morogoro.PICHA NA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII.

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt.Aloyce K.Nzuki akifafanua jambo wakati wa kikao cha kujadili hali ya uhifadhi na uendelezaji wa maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa taasisi za wizara kilichofanyika katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS ) Kituo cha Mbegu za Miti Morogoro. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Idara ya Malikale, Dkt.Fabian Kigadye. PICHA NA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII.

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Malikale, Dkt.Fabian Kigadye akizungumza katika kikao cha kujadili hali ya uhifadhi na uendelezaji wa maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa taasisi za wizara kilichofanyika katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, (TFS ) Kituo cha Mbegu za Miti Morogoro. PICHA NA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII.


Baadhi ya washiriki wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa wakati wa kikao cha kujadili uendelezaji wa maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa taasisi za wizara kilichofanyika katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS ) Kituo cha Mbegu za Miti Morogoro. PICHA NA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce K.Nzuki akifurahia jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Dkt. Noel Lwoga (katikati) pamoja na Mtaalam wa Malikale, Prof. Audax Mabula mara baada ya ufunguzi wa kikao cha kujadili hali ya uhifadhi na uendelezaji wa maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa taasisi za wizara kilichofanyika katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS ) Kituo cha Mbegu za Miti Morogoro. PICHA NA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII.
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce K.Nzuki akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufungua kikao cha kujadili hali ya uhifadhi na uendelezaji wa maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa taasisi za wizara kilichofanyika jana katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS ) Kituo cha Mbegu za Miti Morogoro. PICHA NA WIZARA YA MAIASILI NA UTALII.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce K.Nzuki akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kikao cha kujadili hali ya uhifadhi na uendelezaji wa maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa taasisi za wizara kilichofanyika jana mjini Morogoro. PICHA NA WIZARA YA MALIASILI NA UTALI/www.diramakini.co.tz

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news