Kwa nini Rais Magufuli anaonekana ni mtu mbaya na hatari sana?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Pombe Joseph Magufuli. Matokeo haya hapa chini ndiyo yanayochangia wenye jicho la tamaa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kila kukicha kutafuta sababu ya kueneza propaganda za chuki dhidi ya Tanzania kupitia kiongozi wao huyo. Fuatilia nukta kwa nukta video hii,utayapata majibu ya hayo yanayomfanya aonekane mbaya kwa wengi!. Endelea...Tovuti hii inapokea habari na matangazo saa 24 kupitia; diramakini@gmail.com
Mupo juu Diramakini, hizi Habari Ni Nzuri sana. Endereeni kutoretea mengi.Nimefulai
ReplyDelete