Baada ya uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 leo katika Uwanja wa Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kitaendelea na ratiba ya mikutano ya uzinduzi katika maeneo mbalimbali ifuatavyo;
i. Agosti 29, 2020, Uwanja wa Tanganyika Parkers, jijini Dar es Salaam, kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
ii. Agosti 30, 2020, Uwanja wa Tabata S/M, Segerea, jijini Dar es Salaam, kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
iii. Agosti 31, 2020, Uwanja wa Relini, jijini Arusha, kuanzia saa 400 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
iv. Sepetemba 1, 2020, Uwanja wa Furahisha, Kitangili, jijini Mwanza, kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
v. Septemba 2, 2020, Uwanja wa Lubaga joshoni, Manispaa ya Shinyanga, kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
vi. Septemba 3, 2020, Uwanja wa Chipukizi, Tabora mjini, kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
vii. Septemba 4, 2020, Uwanja wa Uhuru, jijini Dodoma, kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
viii. Septemba 5, 2020, Uwanja wa Rwandanzovwe, jijini Mbeya, kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
ix. Septemba 6, 2020, Uwanja wa Sabasaba, mjini Mtwara, kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
x. Septemba 7, 2020, Uwanja wa Gombani, Chakechake, Pemba, kuanzia saa 2.00 asubuhi hadi saa 6.00 mchana. Uwanja wa Maisara, Unguja, kuanzia saa 8.00 mchana hadi saa 12.00 jioni.
Tags
Siasa