"Kazi ya kukamilisha Mabadiliko yaliyofanywa na Wazanzibari mwaka 2015 tunakwenda kuikamilisha tarehe 28 Oktoba, 2020. Tayari nimechukua fomu za uteuzi wa kuwa Mgombea Urais wa Zanzibar asubuhi leo kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Hamid Mahmoud Hamid,"Mgombea urais Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharrif Hamad
Tags
Siasa