Maandalizi SIMBA DAY 2020 mambo ni moto! shuhudia vijana wanachokifanya hapa

Mwamba..hii sifa au?..twende ninawaonyesha tofauti yetu...
Hapa haupenyi Mwamba, nipo imara! au unabisha?..
Kumbe wote tupo imara hivi, Duh? Hii sasa ni maliza kazi, tukianza msimu wa Ligi Kuu itakuwaje..
Wapi tena hiyo mwamba wangu, hii sasa umedhamiria kuwaliza...

Lazima wajue tofauti yetu na wao...pokea hiyo Mwamba umalizie...Picha zote ni kwa hisani ya Simba SC, maelezo ni ubunifu wa  mwandishi wa Diramakini na unaweza kuzipa maelezo picha hizi kulingana na uelewa wako wakati kikosi hicho kikiendelea na mazoezi ya kuwaandalia Wanasimba burudani ya kihistoria.

Karibu! Tovuti hii ya www.diramakini.co.tz imesajiliwa rasmi na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kupewa leseni namba TCRA/OCS-BL/0197/2020 chini ya Diramakini Business Limited iliyosajiliwa nchini Tanzania kwa ajili ya kukuhabarisha, kukuelimisha na kukupasha habari mbalimbali toka ndani na nje ya nchi. Je? Una habari,maulizo au tangazo, unataka kutupa ufadhili? Tuwasiliane; diramakini@gmail.com Asante.




Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news