MANCHESTER United inamfuatilia kwa karibu winga wa Brazil na Juventus, Douglas Costa (29) inapoanza safari yake ya usajili wa msimu huku Jadon Sancho akiendelea kuwa tegemezi namba moja katika nafasi ya fowadi.
Winga huyo ambaye yupo mawindoni kwa sasa ameitumikia Juventus kwa miaka mitatu sasa ikiwa ni kwa mujibu wa Sky Sports.
Ni wazi kuwa, wataalam wa usajili wa Manchester United wameendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi maendeleo ya Costa kwa ajili ya kufanikisha dhamira yake hiyo.
Winga wa Juventus, Douglas Costa ambaye yupo mawindoni. Je, una habari,maulizo au tangazo? Tuwasiliane; diramakini@gmail.com |
Tags
Michezo