MASHABIKI YANGA WAFANYA UKWELI, HIVI NDIVYO WALIVYOMFANYIA MKURUGENZI WA UWEKEZAJI WA KAMPUNI YA GSM

 

Mashabiki wa Yanga SC wakiwa wamembeba  Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM, Mhandisi Hersi Said kwenye kiti cha Kifalme baada ya kuwasili Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam kutoka Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akiwa na wachezaji wawili, kiungo Tonombe Mukoko na winga Tusila Kisinda wa AS Vita ya huko ambao wote wamejiunga na Yanga SC ya nchini Tanzania.

Karibu! Tovuti hii ya www.diramakini.co.tz imesajiliwa rasmi na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kupewa leseni namba TCRA/OCS-BL/0197/2020 chini ya Diramakini Business Limited iliyosajiliwa nchini Tanzania kwa ajili ya kukuhabarisha, kukuelimisha na kukupasha habari mbalimbali toka ndani na nje ya nchi. Je? Una habari,maulizo au tangazo, unataka kutupa ufadhili? Tuwasiliane; diramakini@gmail.com Asante.


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news