MAMBO YA KUZINGATIWA:-i.
Waombaji wanatakiwa wawe Wazanzibari na wamehitimu katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
ii.Asiwe mwajiriwa wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
iii.Barua za maombi ziandikwe kwa mkono na ziwasilishwe moja kwa moja Afisi ya Mamlaka ya Mafunzo Amali Zanzibar iliyopo Eneo la Ngazi mia wakati wa saa za kazi.
iv.Kwa waombaji walioko Pemba wanatakiwa kuwasilisha maombi yao katika Afisi ya Mamlaka ya Mafunzo Amali iliyopo Madungu, Chake Chake Pemba jirani na Afisi ya Uhamiaji.
v.Siku ya mwisho ya kupokea maombi ni Jumanne tarehe 01/09/2020 saa 9.30 alaasiri. vi.Mawasiliano yatafanywa kwa wale tu watakaopita katika mchujo wa awali (short listed).
MAMLAKA YA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR INATANGAZA NAFASI ZA KAZI (95) KATIKA VITUO VYAKE VYA MAFUNZO YA AMALI UNGUJA NA PEMBA KAMA IFUATAVYO:-Bofya hapa kuona orodha ya nafasi zote
Kwa habari au matangazo katika tovuti hii wasiliana nasi kupitia (diramakini@gmail.com). Tunatoa huduma za habari mbalimbali saa 24 kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza kutoka ndani na nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.