Meneja Uhusiano wa SportPesa, Sabrina Msuya na Afisa Mhamasishaji wa Yanga,A Nugaz wakikabidhi vifaa vya michezo kwa wawakilishi wa timu za Captain Sports Centre kutoka Mbagala na African People Football Club kutoka Mwananyamala mbele ya waandishi wa habari kwenye SportPesa Wiki ya Mwananchi jijini Dar es Salaam leo.
Tags
Michezo