Leo tumepita pamoja na Mwenyekiti wa CCM Wilaya na Mgombea Udiwani wa kata ya Osunyai kwa tiketi ya CCM kumjulia hali kijana Ramadhani Amiri wa Osunyai aliyepata ajali jana kwenye mchakato wa kurudisha fomu ya kugombea Ubunge Jijini Arusha. Tunamuomba Mungu aendelee kumjalia afya njema! |