WAGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHAMWINO NA MVUMI KUPITIA CHADEMA WAKIWA KWENYE OFISI YA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI WILAYA YA CHAMWINO TAYARI KWA KUREJESHA FOMU YA UTEUZI WA TUME NEC ILI WAKIPITISHWA WAANZE MTANANGE MAJIMBONI,MGOMBEA UBUNGE MVUNI NI HADIJA MAHULA (CHADEMA)NA CHAMWIMO NI AMOSI MHEMBANO
Picha zote na Danson Kaijage, kwa habari au matangazo (diramakini@gmail.com) www.diramakini.co.tz