Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Mama Samia Suluhu Hassan wakati wa kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kinachojadili wagombea Uwakilishi wa CCM majimbo ya Zanzibar katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,Dkt.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kinachojadili wagombea Uwakilishi wa CCM majimbo ya Zanzibar katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo. Picha zote na Ikulu/www.diramakini.co.tz
Tags
Siasa