Watendaji NHIF,Mkurugenzi Mtendaji HESLB,wawakilishi wa wanafunzi wateta



Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB),Abdul-Razaq Badru (kulia) akizungumza na watendaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akiwemo Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama, Christopher Mapunda (katikati) na Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja, Hipoliti Lello (kulia) wakati walipofika kujitambulisha ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Abdul-Razaq Badru (katikati) akizungumza na watendaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akiwemo Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama, Christopher Mapunda (katikati) na Meneja Masoko na Huduma kwa wateja, Hipoliti Lello wakati walipofika kujitambulisha ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Agosti 27, 2020). Wa kwanza kulia ni Rais wa Shirikisho la Wanafunzi wa Elimu ya Juu (TAHLISO), Peter Niboye na Afisa Mikopo wa HESLB, Jonathan Nkwabi. Picha zote na HESLB.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news