Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akipokea fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Ruangwa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka kwa Frank Chonya ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ruangwa, Agosti 21, 2020. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu/Diramakini. |
Tags
Siasa