.Mwenyekiti wa Chama cha taifa, Mh amemuidhinisha mgombea wa Mh. kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Taarifa kwa kina zinakujia
“Imani yangu Lissu atakuwa Rais wa Tanzania na mimi nitakuwa wa Zanzibar itakuwa raihisi Mashekhe wetu kuwarejesha,"ameeleza Maalim Seif.
“Lakini ikitokea bahati mbaya akirudi huyo Magufuli na mimi nikiwa Rais nitamtumia ndege, lazima awatowe watu wangu,”amesema.
punde hapa...