CEO wa WCB na msanii wa Kimataifa wa Tanzania, Diamond Platnumz atakuwepo kwenye moja ya collabo iliyopo kwenye album mpya ya Alicia Keys.
Alicia Keys amethibitisha hivyo kwa kuonesha orodha ya nyimbo zitazokuwepo kwenye album yake hiyo mpya na moja kati ya nyimbo ipo aliyomshirikisha Diamond.