CCM: Tupo imara, Oktoba 28 tunafunga hesabu

Wagombea nafasi za udiwani katika mbalimbali mkoa wa Mara  wakihamasishana kupiga push-up kuonesha uimara mbele ya Mgombea Urais  wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho tawala,Rais Dkt.John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara leo Jumamosi Septemba 5, 2020.

Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akiwasili nawanae Makongoro na Madaraka Nyerere kujiunga na wananchi wa mkoa wa Mara kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala, Rais Dkt.John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara leo Jumamosi Septemba 5, 2020.
Mama Janeth Magufuli akimsalimia Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere alipowasili kujiunga na wananchi wa mkoa wa Mara kumsikiliza
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama
hicho Tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara leo Jumamosi Septemba 5, 2020.


Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akisalimiana na Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala Rais Dkt.John Pombe Magufuli kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara wa
kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara leo Jumamosi Septemba 5, 2020
 

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news