CEO wa WCB na msanii wa Kimataifa wa Tanzania, Diamond Platinum ameamua kuelezea hisia zake hadharani kwa msanii Mimi Mars na amesema huwa anajiuliza amekwama wapi mpaka amashindwa kumpata mrembo huyo ambaye ni mdogo wake, Vanessa Mdee.
Diamond ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram huku akiweka video ya Mimi Mars
"Mimi nakapendaga haka katoto.... Sema sjui ata Tyming naikoseaga wapi Mwana wa Dangote... Doh! @mimi_mvrs11 ...
Tags
Michezo