Godbless Lema: Nimefanyiwa hujuma na wasiojulikana

 Jana nilikuwa kwenye mazishi Muheza,nililala Tanga.Leo nilianza safari ya kurudi Arusha, nilisikia kelele kwenye gari,tulifikiri ni grease,tukatafuta gereji na kuweka grease,tumefika Muheza watu wakatusimamisha na kutuambia tairi ina cheza,tumekuta stud tatu zimefunguliwa.

Nimeamua kurudi Tanga,nataka kujua nini kiliendelea,kama ni suala la kiufundi niwe na amani na kama ni mbinu chafu nijipange zaidi.Mimi ni mtoto wa Mungu siko Duniani kwa bahati mbaya,msinijaribu...tumeamua kuchagua hekima na upendo

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news