Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imewaengua wagombea 15 kugombea nafasi ya uwakilishi na saba udiwani ambapo kwa uwakilishi wagombea wa CCM ni mmoja, CUF mmoja, ACT wazalendo 11, DEMOKRASIA MAKINI mmoja, UPDP mmoja na kwa upande wa udiwani CUF mmoja na ACT WAZALENDO sita.
Tags
Siasa