IGP Sirro:Tunataka amani itawale


Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro (wa pili kutoka kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kusini Pemba,Hemed Suleiman kabla ya kuanza kwa kikao kazi na wadau wa vyama vya siasa, viongozi wa dini, viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na wadau wengine wa uchaguzi kisiwani Pemba.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,IGP Simon Sirro akizungumza na baadhi ya wadau wa vyama vya siasa, viongozi wa dini, viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na wadau wengine wa uchaguzi (hawapo pichani) leo kisiwani Pemba wakati alipokuwa kwenye ziara ya kikazi ambapo aliwataka wadau wote wa uchaguzi pamoja na wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu kwenye kisiwa hicho.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, Kamishna wa Polisi Zanzibar, CP Mohamed Hassan wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa dini baada ya kumaliza kikao kazi pamoja na wadau wa vyama vya siasa, viongozi wa dini, viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na wadau wengine wa uchaguzi leo kisiwani Pemba wakati alipokuwa kwenye ziara ya kikazi ambapo aliwataka wadau wote wa uchaguzi pamoja na wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu kwenye kisiwa hicho. Picha zote na Jeshi la Polisi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news