Mgombea ubunge Jimbo la Karatu,Daniel Awaki akiomba kura kwa wananchi wa jimbo hilo ambapo amewaahidi wananchi wa Karatu maendeleoa makubwa ikiwemo kuwajengea shule ya wasichana kutokana na wilaya hiyo kutokuwa na shule ya wasichana. Pia kwa nyakati tofauti wanachama na wananchi hao walisema Awaki anatosha Oktoba 28.
Tags
Picha