“Sikuwa na furaha nikataka kuondoka,nabakia kwenye klabu ili nisiingie kwenye mvutano wa kisheria. Utawala wa Bartomeu ni janga kwa klabu.”
Lionel Messi ametangaza kusalia katika kikosi cha Barcelona kwa msimu wa 2020/2021 kufuatia ugumu wa masuala ya kisheria katika mkataba wake yanayoweka zuio la yeye kuondoka klabu hiyo kwa muda huu.
Tags
Michezo