Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole akisisitza jambo katika mkutano huo. | |
Polepole akizungumzia kuhusu diplomasia amesema, Serikali ya Awanu ya Tano chini ya Rais Dkt. John Magufuli imeweza kuimarisha uhusiano na mataifa mbalimbali.Zinazouwiana unaweza kusoma hapa.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Humphrey Polepole akiongea na wanahabari mjini Chato mkoa wa Geita, leo Ijumaa Septemba 11, 2020. |
Amesema, Serikali imefanikiwa kuimarisha
Diplomasia ya Uchumi na Siasa, ikiwemo kufungua Balozi kwenye nchi
zingine ili kukuza ushirikiano.
Tags
Siasa