"Nawahakikishia sitoi ahadi za uongo msema kweli ni mpenzi wa Mungu, sitaki nipate dhambi kwa kuwaambia uongo, napenda siku moja nifike mbinguni ili Malaika waniambie ulifanya vizuri tunakupa hata Uwaziri wa Malaika."Wapo Watu wengi wenye maneno matamu na watawaahidi kila kitu, mnafahamu Wanaume tukiwa tunatafuta Wanawake huwa tunadanganya sana, mwishowe unamuacha kijana mliyehangaika nae kisa umepata wa mjini,huko Mjini unakuta analala kwenye ngozi unaanza kujuta.
Tags
Siasa