LIVE:Dkt.Magufuli ndani ya Tabora, Wana Tabora wamesema ndiyo kuelekea Oktoba 28
Tabora wamesema ndiyo, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt.John Magufuli amepokelewa na maelfu ya wananchi Tabora.