Hizi ni kampeni za kihistoria"Ahadi yangu ilikuwa KM 8 Barabara za Mjini hapa Itigi, sasa nitatengeneza KM 10, Mkuu wa Mkoa wa Singida hili liwe la kwanza, Meneja TANROADS Mkoa shirikiana na wa TARURA kuanzia leo tukiondoka chagua baadhi ya Barabara hapa zitakazotosha KM 10, kazi ianze