Mgombea Urais Zanzibar kupitia Chama cha ACT Wazalendo ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad baada ya kuwasili Maruhubi katika Kituo cha Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) asubuhi ya leo Septemba 9, 2020 kwa ajili ya kurejesha fomu ya kuomba kuteuliwa na tume kuwania nafasi hiyo. Pichani akipokea maelekezo kutoka kwa Mwanasheria wa chama,Omar Said Shaaban na baadae akaziwasilisha kama alivyoonwa na mwakilishi wa www.diramakini.co.tz jijini Zanzibar.