Ilikuwa saa mbili asubuhi, lakini maelfu ya wananchi wa jiji la Mwanza wamejipanga kandokando ya barabara maeneo mbalimbali ya jiji
hilo kumuaga Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa
Chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli leo Jumanne Septemba 8, 2020
Tags
Picha