Mahakamani kwa kutoa ushaidi wa uongo, TAKUKURU yarejesha matofati ya wanakijiji
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rusha (TAKUKURU) katika mikoa ya Njombe na Morogoro imeendelea kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi na hayo hapo juu ndiyo matokeo yake.