Mapema leo Septemba 19, 2020 Mheshimiwa Majaliwa alipita nyumbani kwa Baba wa Taifa katika Kijiji cha Mwitongo na kumjulia hali Mama Maria Nyerere.
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akimsalimia Mama Maria Nyerere, wakati alipomtembelea, nyumbani kwake Butiama, akiwa kwenye kampeni ya CCM mkoani Mara.
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Mama Maria Nyerere, wakati alipomtembelea, nyumbani kwake Butiama, akiwa kwenye kampeni ya CCM mkoani Mara.
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mtoto wa Hayati Julius Nyerere, Madaraka Nyerere, wakati alipowatembelea, nyumbani kwa Butiama, akiwa kwenye kampeni ya CCM mkoani Mara, Septemba 19, 2020. (PMO).
Tags
Picha