Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza siku ya Uchaguzi wa Rais na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano na Madiwani wa Tanzania Bara kuwa ni siku ya Jumatano ya tarehe 28 Oktoba mwaka huu 2020.Hivyo ni jukumu lako kutunza kadi yako vizuri,kushiriki mikutano ya wagombea wote ili mwisho wa siku uweze kufanya maamuzi sahihi na kumchagua mgombea atakayewaletea maendeleo.
Tags
Siasa