Mbio za kilomita 21 za Ngorongoro Marathon zafana, Dunia yatakiwa kufahamu Tanzania maisha yanaendelea na utalii upo vizuri


Washindi wa kilomita 21 wa Ngorongoro Marathon zilizofanyika wilayani Karatu mkoani Arusha.Mbio hizo ziliandaiwa na Meta Sport Promotion na kudhaminiwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Bonite na TBL ambapo mshindi wa kwanza alipewa sh.milioni moja kwa upande wa wanaume na wanawake.Washindi hao wakiwa kwenye picha ya pamoja na wadau mbalimbali pamoja na wadhamini na mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Iddi Kimanta. (Diramakini).

Wa nne kutoka kushoto ni mgeni rasmi katika mbio hizo, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Iddi Kimanta akifungua mbio hizo za kilomita 21. (Diramakini).

Mshindi wa kwanza wa mbio hizo kilomita 21,Gabriel Geay kutoka Arusha. Akielezea lengo la mbio hizo Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hifadhi, Ruzika Muheto amesema kuwa ni kutangaza utalii wa ndani,kupinga ujangili pamoja na kuifahamisha Dunia kuwa Tanzania inaendelea na maisha yake pamoja na ugonjwa wa corona maisha yanaendelea ikiwemo utalii. (Diramakini).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news