MGOMBEA URAIS CCM, RAIS MAGUFULI ATIKISA TABORA


Mgombea Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Igunga mkoani Tabora katika Kampeni za Urais za CCM wakati akiwa njiani kuelekea Nzega.
Sehemu ya wananchi wa Igunga waliohudhuria mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.
Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Shelui mkoani Singida wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Tabora.
Wananchi wa Shelui wakishangilia mara baada ya Mgombea Urais kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli aliposimama wakati akielekea Igunga mkoani Tabora.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news