Baada ya Diamondplatnumz kuelezea hisia zake hadharani kuwa huwa anampenda Mimi Mars ila huwa anajiulizaga huwaga anakosea wapi hatimae Mimi Mars ameandika kwa mara ya kwanza baada ya ombi hilo.
"Palipo na upendo hapana woga; naam, upendo kamili hufukuza woga wote. Basi, mtu mwenye woga hajakamilika bado katika upendo, kwani woga huhusikana na adhabu.”
1 Yohane 4:18
#mimimars #chuggaqueen"
Tags
Michezo