Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, walimu wakamatwa na TAKUKURU kwa tuhuma za rushwa








Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoani Dodoma imeendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kuhakikisha jamii inapata haki kupitia huduma mbalimbali bila kuwa na viashiria vya rushwa, Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma, Sosthenes Kibwengo amesema, hatua hizo zitaendelea huku akiendelea kuwakumbusha watumishi wa umma kuwa, rushwa hailipi na iwapo utashawishiwa kupokea rushwa unaweza kutoa taarifa kwao mara moja, "nasi tutachukua hatua kwa mujibu wa sheria".

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news