NEC yafanya uamuzi wa rufaa za wagombea ubunge na udiwani tena
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt.Wilson Mahera
Charles akisoma taarifa kwa umma kuhusu rufaa za wagombea Ubunge na
Udiwani Jijini Dar es Salaam leo tarehe 16 Septemba 2020.