Klabu ya West Brom inayoshiriki Ligi Kuu ya England ina mpango wa kukwamisha mchakato wa klabu ya Fenerbahce wa kumsajili nyota wa Kimataifa na raia wa Tanzania,Mbwana Samatta.
Alan Nixon wa The Sun ameripoti kuwa, West Brom inapanga kuingilia kati na kukwamisha biashara hiyo ili kutimiza hitaji la kocha wao, Slaven Billic anayemuhitaji Samatta.
Nixon ameeleza kuwa,huenda West brom wakafanikiwa kumpata Samatta kutokana na hitaji lake la kuendelea kucheza katika Ligi Kuu ya England.

Mbwana Samatta kulia. (PL). |
Tags
Michezo