Kwa niaba ya Watanzania waliokwama hapa Afrika Kusini tumefanikiwa kupata basi binafsi ili kurudi Tanzania.
Hii ni jitahada binafsi kwa wale wenye uhitaji wa kurudi nyumbani kwa sababu mbali mbali.
Gharama za basi kwa mtu mmoja ni R3000.00 mpaka Nakonde/Tunduma mpaka wa Zambia na Tanzania.
Safari itakuwa Jumamosi tarehe 5 September 2020
Safari itaanzia Shalom Bus Service, 144 Kerk Street, Johannesburg
Wasafiri wafike saa 4 asubuhi kwa ajili ya kupakia mizigo na kuanza safari.
Alex Minja
0839689176
Katibu TACOSA
1 September 2020