Samia Suluhu Hassan aacha kilio kwa wapinzani Kigamboni, sauti za JPMMITANO TENA zatawala

 

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Wilaya ya Kigamboni Mkoa wa Dar es salaam  katika mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM kwenye Uwanja wa Ofisi ya zamani ya Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni  Mji Mwema leo Septemba 08,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Kadi ya CCM aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema Kadawi Lucas Limbu baada ya kuamua kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)  leo Septemba 08,2020 kwenye  mkutano wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM uliofanyika katika Uwanja wa Ofisi ya Zamani ya Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni  Mji Mwema jijini Dar es Salaam.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam wakimsikiliza mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi katika Uiwanja vya Zamani wa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mji Mwwema Dar es Salaam leo Septemba 08,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na wasanii wa kikundi cha Mama Ongea na Mwanao alipowasili Uwanja wa Ofisi ya Zamani ya Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni  Mji Mwema kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM leo Septemba 8, 2020.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news